Kuanzia Tarehe 16/07/2017, Dafutari zenye nembo, majemgo na tovuti ya shule kwa ajili ya wanafunzi wite na walimu zipatika kwenye Duka la shule kwa Gharama zifuatazo
1. Counter Book 3 Quire 35,000/=
2. CounterBook 2 Quire 25,000/=
3. Note book (200 pgs) 25,000/=Aidha, mwanfunzi ataruhusiwa pia kutumia daftari za kawaida japo inashauliwa kutumia za shule kutokana na gharama kuwa sawa na zile zile za kawaida.
Nauliza fomu za kidato cha tano zimeshaandaliwa mwaka 2020/2021 kwa maana tunahitaji kujua mahitaji mapema,ahsanteni
ReplyDelete