“ELIMU NI DHAMANA”


JOINING INSTRUCTION - SENGEREMA SECONDARY SCHOOL

Saturday, July 15, 2017

Wednesday, July 12, 2017

SENGEREMA SECONDARY SCHOOL COUNTER BOOKS & NOTE-BOOKS



Kuanzia Tarehe 16/07/2017, Dafutari zenye nembo, majemgo na tovuti ya shule kwa ajili ya wanafunzi wite na walimu zipatika kwenye Duka la shule kwa Gharama zifuatazo

1.  Counter Book 3 Quire   35,000/=
2.  CounterBook 2 Quire    25,000/=
3.  Note book (200 pgs)      25,000/=

Aidha, mwanfunzi ataruhusiwa pia kutumia daftari za kawaida japo inashauliwa kutumia za shule kutokana na gharama kuwa sawa na zile zile za kawaida.
Share:

Tuesday, June 20, 2017

SENGEREMA SECONDARY SCHOOL- JOINING INSTRUCTION


Mkuu wa Sekondary Sengerema anayo furaha ya kuwataarifu wazazi wa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha TANO katika shule hii mwaka 2017 kuwa napaswa  kufika  shuleni  tarehe  17/07/2017  kabla  ya  saa  11.00   jioni  .  

Shule  ipo  kata  ya  Mwabaluhi  Wilaya  ya  Sengerema- Mwanza umbali wa kilometa 1.3 kutoka stendi kuu ya mjini Sengerema . Pia mwanfunzi anaweza kutumia husafiri wa kufika shuleni kwa teksi Tsh 3000/= au pikipiki kwa Tsh 1000/=

FOMU ZA MAAGIZO  YA  KUJIUNGA  NA  SHULE  ZINAPATINA HAPA PIA

SIMU: 0282590088 
KARIBU SANA
                                                            “ELIMU NI DHAMANA”


Z.L. KAHEMA
MKUU WA SHULE
Share: