“ELIMU NI DHAMANA”


JOINING INSTRUCTION - SENGEREMA SECONDARY SCHOOL

Tuesday, June 20, 2017

SENGEREMA SECONDARY SCHOOL- JOINING INSTRUCTION


Mkuu wa Sekondary Sengerema anayo furaha ya kuwataarifu wazazi wa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha TANO katika shule hii mwaka 2017 kuwa napaswa  kufika  shuleni  tarehe  17/07/2017  kabla  ya  saa  11.00   jioni  .  

Shule  ipo  kata  ya  Mwabaluhi  Wilaya  ya  Sengerema- Mwanza umbali wa kilometa 1.3 kutoka stendi kuu ya mjini Sengerema . Pia mwanfunzi anaweza kutumia husafiri wa kufika shuleni kwa teksi Tsh 3000/= au pikipiki kwa Tsh 1000/=

FOMU ZA MAAGIZO  YA  KUJIUNGA  NA  SHULE  ZINAPATINA HAPA PIA

SIMU: 0282590088 
KARIBU SANA
                                                            “ELIMU NI DHAMANA”


Z.L. KAHEMA
MKUU WA SHULE
Share:

40 comments:

  1. 1: Je maelezi yalio katika fomu hizi yanaendelea kutumika kwa masomo ya mwaka huu wa masomo unaoanza 2018?
    2: Je shule ina funguliwa lini kwa kidato cha tano? Mwaka huu

    NB:Mimi ni mzazi wa mtoo Patience Musigula aliye chaguliwa kujiunga nakidato cha tano aliye chaguliwa kwenye shule hio ninaishi mkoa wa kagera manispaa ya bukoba mjini

    ReplyDelete
  2. Hlw!nimeshindwa kuolewa je fomu hii ya 2017 inatumika kwa mwaka huu pia?mlezi wa kijana Athanas Awabu amepangiwa shuleni kwenu

    ReplyDelete
  3. Am David from Dar es salaam. Am asking the joining instruction for this year or we can use the form for the last year because the things remain the same. We need answer because the time makangability

    ReplyDelete
  4. form zinatoka lini? kwasababu mahitaji ni mengi, na hatuna uhakika kama mahitaji ya fomu ya mwaka 2017 ndo hayo hayo ya mwaka huu.
    Tafadhali tujulisheni mapema ili nasi tupate kujiandaa mapema.

    ReplyDelete
  5. Asante sana shule yangu kwa kuwa na blog yake...nimesoma 1989-1992 bweni Mkwawa, nimecheza basketball. Nafurahi kwa ukarabati unaoendelea wa madarasa na mabweni......

    ReplyDelete
  6. habari naombeni namba za simu za mkononi

    ReplyDelete
  7. Je kunauwezekano wa kijiunga na form one 2019?

    ReplyDelete
  8. Je kunauwezekano wa kijiunga na form one 2019?

    ReplyDelete
  9. Tunaomba joing instruction ya mwaka 2019 .

    ReplyDelete
  10. tunaomba joining instraction za 2019

    ReplyDelete
  11. Ninaomba joining instructions za mwaka huu 2019 ili nijue mahitaji yake na Kama mahitaji ni sawa na Yale ya mwaka jana basi naomba kufahamishwa ili niweze kufanya maandalizi mapema. Asante

    ReplyDelete
  12. Naitwa Joseph Nicholaus nimechaguliwa kijiunga na shule yenu mwaka huu naomba joining instruction za mwaka huu

    ReplyDelete
  13. Habari Mkuu wa shule. Naitwa Emmanuel ambaye ni mzazi wa Kelvin Emmanuel Clamsen aliyechaguliwa kujiunga na shule yako kidato cha tano 2020/2021. Naomba joining instruction ya 2020 kwa ajili ya maandalizi ya mwanafunzi

    ReplyDelete
  14. Naomba join instruction ya mwaka huu
    2020

    ReplyDelete
  15. Mkuu naitwa Shunda Kishiwa mlezi wa mwanafunzi Lucas Sadick ambaye amechaguliwa kujiunga na shule yako naomba fomu ya maelekezo ya kujiunga kidato cha tano mwaka 2020/2021

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mkuu naitwa Innocent malagi, nimepangiwa hapo, Naomba Msaada wa joining instruction Maana nimetafuta nimekosa kabisa

      Delete
  16. Naitwa Steven Joseph nimepangiwa apo kujiunga na kidato cha tano lakini nimejaribu kutafuta form nimeshindwa naombeni msaada

    ReplyDelete
  17. Hellow naomba joining instructions za mwaka huu 2020

    ReplyDelete
  18. naomba msaada wa join instruction ya mwaka huu (2020)

    ReplyDelete
  19. Mkuuu wa shule kwa majina naitwa goodluck Charles Manongi mimi Niko Moshi kilimanjaro naomba nijiunge na shule yako sengerema EGM japo Kuna matatizo yalinikuta ya baba yangu mzazi kufariki na Sasa hiv nmepata hela ya kwenda kusoma na nilipangiwa nyakato secondary school Ila naomba nijiunge na shule yako na pia nakuomba nisome Kwanza tuition ili niweze kuwa vzr na nijiunge na shule mwezi wa Kwanza nakuomba

    ReplyDelete
  20. 0674118797 hzo Ni namba zangu naomba ukipata huu ujumbe wangu hapo juu naomba unipigie na tuwasiliane Ni mm Goodluck charles

    ReplyDelete
  21. By the name of josephath poul naomba msaad wa kupata instruction za shule yenu pia namba ya mkuu wa ahule haipokelewii tunaomba mpokee sim ili tupate maaelezo zaid kutoka kwwnu

    ReplyDelete
  22. mtuwekee joining instruction za shule yenu kwa mwaka 2021

    ReplyDelete
  23. Mimi mlezi wa Godfrey samweli muhindoy aliechaguliwa sengerema secondary school mwaka 2021,dhumuni langu nilikuwa naomba joining instruction ya mwaka huu maana kwenye website hamjaweka mpaka sasa 2021

    ReplyDelete
  24. Samahani naitaji joining instruction za mwaka 2021

    ReplyDelete
  25. Samahani mim mzazi wa anold Wilfred naomba joining instructio ya mwaka 2021

    ReplyDelete
  26. sir instruction its time for preparation let's be allow it soon

    ReplyDelete
    Replies
    1. sir instruction it is a time for preparation,we need it

      Delete
  27. Tunaomba join instruction ya mwaka 2021 ...

    ReplyDelete
  28. joining instruction inapatikana ,nenda kwenye selection halafu click jina la shule uliyochaguliwa(sengerema) halafu itakutaka udownload ,ukisha download fungua utaikuta

    ReplyDelete
  29. Naomba joining instruction ya mwaka huu2021

    ReplyDelete
  30. Naomba joining instruction ya 2021

    ReplyDelete
  31. Naomba kuuliza nafasi za usajili wa Eca pc upo. Na kama upo napataje

    ReplyDelete
  32. Baccarat - Play at the Best Casinos In USA - FABCASINO
    Best Online Casino Games at FABCASINO. Try your hand at the febcasino right gambling games with our list of the 메리트 카지노 고객센터 best youtube mp3 casinos in the USA for bonuses, free

    ReplyDelete
  33. Naomba kuuliza nafasi za usajili wa mchepuo wa PGM .. Pia kuomb nafasi katika shule

    ReplyDelete