-
WELCOME: SENGEREMA SEC. SCHOOL
Sengerema - Mwanza
-
MKUU WA SHULE
SHULE YA SEKONDARI SENGEREMA
JOINING INSTRUCTION - SENGEREMA SECONDARY SCHOOL
Saturday, July 15, 2017
Wednesday, July 12, 2017
SENGEREMA SECONDARY SCHOOL COUNTER BOOKS & NOTE-BOOKS
Kuanzia Tarehe 16/07/2017, Dafutari zenye nembo, majemgo na tovuti ya shule kwa ajili ya wanafunzi wite na walimu zipatika kwenye Duka la shule kwa Gharama zifuatazo
1. Counter Book 3 Quire 35,000/=
2. CounterBook 2 Quire 25,000/=
3. Note book (200 pgs) 25,000/=Aidha, mwanfunzi ataruhusiwa pia kutumia daftari za kawaida japo inashauliwa kutumia za shule kutokana na gharama kuwa sawa na zile zile za kawaida.
Tuesday, June 20, 2017
SENGEREMA SECONDARY SCHOOL- JOINING INSTRUCTION
Mkuu wa Sekondary Sengerema anayo furaha ya kuwataarifu wazazi wa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha
TANO katika shule hii mwaka 2017 kuwa napaswa kufika shuleni
tarehe 17/07/2017 kabla ya saa 11.00
jioni .
Shule ipo kata ya Mwabaluhi Wilaya ya
Sengerema- Mwanza umbali wa kilometa 1.3 kutoka stendi kuu ya mjini
Sengerema . Pia mwanfunzi anaweza kutumia husafiri wa kufika shuleni kwa teksi Tsh 3000/= au pikipiki kwa Tsh
1000/=
FOMU ZA MAAGIZO YA KUJIUNGA NA SHULE ZINAPATINA HAPA PIA
>>>BONYEZA HAPA KUCHUKUA FOMU <<<
SIMU: 0282590088
KARIBU
SANA
“ELIMU
NI DHAMANA”
Z.L. KAHEMA
MKUU WA SHULE